• English
  • Kiswahili
  • Barua Pepe
  • Wasiliana Nasi
  • e-Vibali
  • e-Malalamiko
  • Ukubwa wa Maneno:  icon_a1.png icon_a3.png
Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Maelezo Kuhusu Wizara
    • Dira & Dhima
    • Muundo
  • Idara na Vitengo
    • Idara
      • Uendelezaji wa Mifumo na Huduma za TEHAMA
      • Mawasiliano
      • Sera na Mipango
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Miundombinu ya TEHAMA
      • Usalama wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
  • Sera & Sheria
    • Sera
    • Sheria na Kanuni
    • Mikakati
    • Miongozo
    • Viwango
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Bajeti
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Jarida
    • Takwimu
  • Miradi
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Usalama wa Mtandao
    • TZ-CERT
    • Mikataba ya Makubaliano
    • Mahusiano ya Kimataifa
  • Tafiti & Ubunifu
    • Usajili Wataalam wa TEHAMA
    • Kampuni Changa za TEHAMA
    • Uendelezaji wa Mifumo ya TEHAMA
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
  • Anwani za Makazi
    • NaPA
    • Miongozo
  • Kongamano la TACPA 2026
Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb)
Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb)
Waziri
Mhe. Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb)
Mhe. Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb)
Naibu Waziri
Bw. Mohammed Khamis Abdullah
Bw. Mohammed Khamis Abdullah
Katibu Mkuu
Bw. Nicholaus Merinyo Mkapa
Bw. Nicholaus Merinyo Mkapa
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb.), akikabidhi tuzo kwa mmoja wa wadau wa sekta ya posta wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani 2026.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe .Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb.), akikabidhi kwa Mtendaji mkuu wa Benki ya AZANIA cheki ya shillingi Bilioni 5 kwaajili ya uwezshaji wa mikopo ya mitaji kwa Kampuni changa za TEHAMA (Startups) nchini, tarehe 02 Oktoba 2026 katika Ofisi za Wizara Mtumba- Dodoma.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akifungua mafunzo ya Akili Unde (AI) kwa Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb.), amekutana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud bin Hilal Al-Shindhani, kujadili na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Oman katika sekta ya TEHAMA.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – CoICT wakiwa katika Kituo cha Ubunifu katika TEHAMA (ICT Innovation Lab), Kijitonyama, wakijifunza na kuendeleza ubunifu katika teknolojia.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb.),akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Tuzo za TEHAMA 2026,Wakati wa Hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika tarehe 09 Agosti 2026.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (MB) amefanya mazungumzo na Waziri wa Sayansi na Teknolojia wa Vietnam, Mhe. Vu Hai Quan, kuhusu Tanzania kuendelea kushirikiana kwa karibu na Vietnam katika maeneo mbalimbali ya maendeleo ya teknolojia na ubunifu.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, amefanya mazungumzo ya pande mbili na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Masuala ya Kidijitali wa Poland, Mhe. Krzysztof Gawkowski, kuhusu kuimarisha ushirikiano katika mageuzi ya kidijitali, usalama wa mtandao, Akili Unde (AI), serikali ya kidijitali na maendeleo ya ujuzi wa TEHAMA.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Tanzania yazidi kung'ara kimataifa Kupitia Mradi wa JamiiStack, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetambuliwa katika Tuzo za WSIS Prizes 2026, hatua inayodhihirisha mafanikio ya nchi katika kuendeleza mageuzi ya kidijitali na kujenga uchumi wa kidijitali jumuishi.

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki, akihutubia Mdahalo wa Kimataifa kuhusu Utawala wa Akili Unde (AI) uliofanyika Geneva, Uswisi, ambapo aliwasilisha msimamo wa Tanzania wa kuhimiza ushirikiano wa kimataifa katika kuhakikisha maendeleo ya AI yanasimamiwa kwa mifumo jumuishi, yenye uwazi na usawa kwa manufaa ya wote.

Previous Next

Taasisi chini ya Wizara

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Habari Mpya

TANZANIA YAWEKA HISTORIA, YATWAA TUZO YA NYOTA INAYONG’AA KATIKA MAENDELEO YA POSTA DUNIANI.
TANZANIA YAWEKA HISTORIA, YATWAA TUZO YA NYOTA INAYONG’AA KATIKA MAENDELEO YA POSTA DUNIANI.
Oct 10, 2026
📍 *BERNE, USWISI* 🗓️  Oktoba 2026   Tanzania imeweka historia katika sekta ya posta Duniani baada ya kutwaa tuzo ya Nyota Inayong&rs...
SERIKALI YAWATAKA WASAFIRISHAJI KUUNGANISHA MIFUMO YA UFUATILIAJI WA VIFURUSHI
SERIKALI YAWATAKA WASAFIRISHAJI KUUNGANISHA MIFUMO YA UFUATILIAJI WA VIFURUSHI
Oct 10, 2026
Na Mwandishi Wetu Serikali imewataka watoa huduma za usafirishaji wa vifurushi na huduma za haraka kujisajili na kuunganisha mifumo yao na mifumo y...
TANZANIA YASHIRIKISHA DRC UZOEFU WA KUIMARISHA SEKTA YA MAWASILIANO.
TANZANIA YASHIRIKISHA DRC UZOEFU WA KUIMARISHA SEKTA YA MAWASILIANO.
Oct 07, 2026
Na Mwandishi Wetu Tanzania imeshirikisha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) uzoefu wake katika uandaaji wa sera, usimamizi wa Serikali, utekele...
Tazama Zote

Matukio

Hafla ya Uzinduzi wa Minara 758, Maunganisho ya Mkongo...
Mar 30, 2026
UKUMBI WA MIKUTANO...
Mkutano Mkuu wa 28 wa Umoja wa Posta Duniani
Sep 08, 2025
Dubai
The 14th Africa Internet Governance Forum (AfIGF 2025)
Apr 21, 2025
JNICC Dar es Salaam
MADHIMISHO YA WIKI YA ANWANI ZA MAKAZI
Jan 30, 2025
UKUMBI WA MIKUTANO...
Tazama Zote

Nyaraka

  • Matukio
    2
  • Hotuba
    20
  • Mikakati
    7
  • Usalama Mtandao
    6
  • Kanuni
    13
  • Ripoti
    13
pdf-128
10 Sep 2026

MAELEZO YA MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI, WAZIRI WA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KATIKA WTPF-26


Soma zaidi
pdf-128
13 Jul 2026

UGOMBEA WA TANZANIA KATIKA BARAZA LA ITU, KANDA D – AFRIKA 2027–2030


Soma zaidi
Tazama Zote

Video

09th Jul, 2026
TANZANIA YAIMARISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA HURIA K...
09th Jul, 2026
TANZANIA TAKES PART IN GLOBAL AI GOVERNANCE DIALOG...
28th Jun, 2026
Intaneti ya Kasi Kuwafikia Watanzania Wote: Mhandi...
23rd Jun, 2026
MAGEUZI YA KIDIJITALI YAPEWA KIPAUMBELE BAJETI YA...
Tazama Zote
Tanzania emblem
Katibu Mkuu
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
9 Mtaa wa Mawasiliano, Mji wa Serikali - Mtumba, S.L.P 677, 40470 Dodoma, Tanzania
ps@mawasiliano.go.tz
+255-26-2324513
+255-26-2963117
Tovuti Mashuhuri
  • Tovuti Rasmi ya Rais

  • Bunge la Tanzania

  • Ofisi ya Makamu wa Rais

  • Ofisi ya Waziri Mkuu

  • Tovuti Kuu ya Serikali

  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

Kurasa za Karibu
  • Matukio

  • postcode-list

  • Ramani ya Mkongo wa Taifa

  • Habari

  • Mwongozo wa Mawasiliano kwa Njia ya Video Serikalini

Tufuatilie
  • Ramani ya Tovuti
  • Sera ya Faragha
  • Vigezo & Masharti
  • Hakimiliki
  • Kanusho
  • Imesanifiwa na Imetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao na Inaendeshwa na WMTH
    © 2026 WMTH, Haki zote zimehifadhiwa.