Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kitengo cha Sheria

KITENGO CHA SHERIA

LENGO

Kutoa utaalamu wa sheria na huduma kwa Wizara.

Kitengo kinaongozwa na;

PHOTO

Ms Rehema Mpagama

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria  (HLU)

Barua pepe; rehema.mpagama@mawasiliano.go.tz

WASIFU


MAJUKUMU YA KITENGO CHA SHERIA

(i) Kutoa msaada wa kiufundi katika maandalizi ya nyaraka za sheria ikiwa ni pamoja na kutungwa kwa Sheria za Bunge na Kanuni mbali mbali na  kuziwasilisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali;

(ii) Kutoa ushauri wa kisheria kwa Wizara na Taasisi zake;

(iii) Kushiriki katika mazungumzo na mikutano mbalimbali ambayo inahitaji utaalamu wa kisheria;

(iv) Kutafsiri sheria ndani ya sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari;

(v) Kuwasiliana na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali juu ya madai ya kesi za Madai na madai mengine yanayohusu Sekta hiyo: Na

na kutoa msaada wa kiufundi kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali juu ya ukaguzi wa nyaraka mbalimbali za kisheria kama vile Amri, Notisi, vyeti, makubaliano na Nyaraka za kuhamisha.