Dira &Dhima
Dira:
“Jamii yenye uelewa na iliyowezeshwa kidijitali kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi”
Dhamira
“Kuwezesha upatikanaji wa taarifa, mawasiliano, teknolojia ya habari na huduma za posta zenye uhakika na gharama nafuu kupitia mazingira bunifu ili kuibadilisha Tanzania kuwa uchumi wa kidijitali”