Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Hafla ya Uzinduzi wa Minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano Katika Wilaya 85 na Makabidhiano ya Mkongo wa Mawasiliano Serikalini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa minara 758 ya mawasiliano, maunganisho ya mkongo wa mawasiliano katika wilaya 85 pamoja na makabidhiano ya mkongo wa mawasiliano serikalini. Aprili 10, 2026 | Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma.