Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Habari

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA NAIBU WAZIRI NA NAIBU KATIBU MKUU WALIVYOPOKELEWA KATIKA OFISI NDOGO ZA WIZARA DAR ES SALAAM BAADA YA UAPISHO


Matukio katika picha, Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Winfred Mahundi (Mb) alipowasili kwenye Ofisi Ndogo za Wizara zilizopo Dar es Salaam kwa mara ya kwanza mara baada ya kuapishwa Ikulu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Nicholaus Merinyo Mkapa na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Mohammed Khamis Abdulla na baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Wizara leo Aprili 04, 2024.