Habari
HABARI PICHA ZA JUKWAA LA MAJADILIANO YA KITAIFA YA VIJANA KUHUSU JINSI YA KUWA SALAMA MTANDAONI
Picha za matukio mbalimbali ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Mathew Andrea Kundo (Mb) alipokuwa anafungua majadiliano ya Kitaifa ya Vijana kuhusu jinsi ya kuwa salama Mtandaoni katika ukumbi wa CIVE AUDITORIUM (UDOM) Leo tarehe 18, Novemba,2023
Majadiliano hayo yameandaliwa ma Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na UNESCO.