Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Habari

HABARI PICHA WAZIRI NAPE AKIFUNGA MAONESHO YA TATU YA KIDIJITALI YA AFYA NA UBUNIFU YALIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI CHA MUHIMBILI


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) wakati akiwasili kwa ajili ya kufunga maonesho ya tatu ya kidijitali ya Afya na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili. Tarehe 17 Novemba, 2023, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho wakati wa kufunga maonesho ya tatu ya kidijitali ya Afya na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Tarehe 17 Novemba, 2023, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akikabidhi tuzo kwa wadhamini mbalimbali kwa kutambua mchango wao katika maonesho ya tatu ya kidijitali ya Afya na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Tarehe 17 Novemba, 2023, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwa na baadhi ya wanafunzi mara baada ya kufunga maonesho ya tatu ya kidijitali ya Afya na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Tarehe 17 Novemba, 2023, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipokea tuzo ya kutambua ushiriki wake katika maonesho ya tatu ya kidijitali ya Afya na Ubunifu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Tarehe 17 Novemba, 2023, jijini Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Erasto Mbugi.