Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inashiriki Maonesho ya 30 ya sikukuu ya Wakulima yaani Nane nane Kanda ya Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere, Mkoani Morogoro kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti, 2023.